iqna

IQNA

bosnia herzegovina
Wanamichezo Waislamu
TEHRAN (IQNA) - Mchezaji soka maarufu wa Bosnia na Herzegovina Anel Ahmedhodzic ameusifu mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwa ni mwezi wa kumwabudu Mwenyezi Mungu na kuleta jamii pamoja.
Habari ID: 3476768    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/27

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Michoro yenye chuki dhidi ya Uislamu iliyochorwa huko Capljina nchini Bosnia na Herzegovina ilizua taharuki kutoka kwa wakazi Jumamosi huku polisi wakianzisha uchunguzi kuhusu kesi hiyo.
Habari ID: 3476513    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/05

Mauaji ya Waislamu Bosnia
TEHRAN (IQNA) – Afisa wa polisi wa kijeshi wa zamani Mserbia wa Bosnia amekana mbele ya mahakama ya jimbo la Bosnia Jumanne kwa shtaka kwamba alitenda uhalifu dhidi ya ubinadamu katika kijiji cha Novoseoci mnamo Septemba 1992.
Habari ID: 3475379    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/15

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Ujerumani imebatilisha uamuzi wake wa kumuenzi mwanahistoria wa utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya matamshi yake ya kukana mauaji ya Waislamu.
Habari ID: 3474750    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/01

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema mauaji ya Waislamu wa katika mji wa Srebrenica ni ukurasa mchafu katika historia ya mwanadamu wa leo.
Habari ID: 3474094    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/12

TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya Waislamu wa Bosnia Herzegovina wamekusanyika leo Jumapili kuwakumbukwa wenzao waliouawa uaawa vitani miaka 26 iliyopita
Habari ID: 3474091    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/11

TEHRAN (IQNA)- Majaji wa Mahakama ya Jinai za Kivita ya Umoja wa Mataifa wamedumisha hukumu ya kifungo cha maisha jela dhidi ya Jenerali Ratko Mladic, aliyekuwa kamanda wa kijeshi wa Serbia, ambaye mwaka 2017 alipatikana na hatia ya kuagiza na kuongoza mauaji ya maelfu ya Waislamu huko Srebrenica mwaka 1995.
Habari ID: 3473996    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/10

TEHRAN (IQNA) – Polisi nchini Bosnia wamewakamata Waserbia tisa ambao wanashukiwa kuhusika na mauaji ya Waislamu 44 katika kijiji kimoja mwanzoni mwa vita vya Bosnia mwaka 1990.
Habari ID: 3473179    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/17

TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mauaji ya kimbari ya maelfu ya Waislamu wa Srebrenica yalifanyika kutokana na Ulaya kufeli kutekeleza majukumu yake ya msingi.
Habari ID: 3472955    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/12

TEHRAN (IQNA) – Mauaji ya Kimbari ya Srebrenica yalijiri miaka 25 iliyopoita ambapo Waislamu zaidi ya 8000 wa mji huo waliuawa kwa umati.
Habari ID: 3472954    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/12

TEHRAN (IQNA) – Sherehe inayojulikana kama Ajvatovica imefanyika nchini Bosnia na Herzegovina kuadhimsiha mwaka 510 tokea Uislamu uingie nchini humo.
Habari ID: 3472916    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/30

TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Bosnia Herzegovina wanaendelea na sherehe za Maulidi ya Bwana Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3471276    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/24

IQNA-Chuo Kikuu cha Sarajevo nchini Bosnia Herzegovina kimetangaza kitakuwa kikufungwa adhuhuri wakati wa Sala ya Ijumaa ili Waislamu chuoni hapo wahudhurie sala hiyo ya kila wiki.
Habari ID: 3470770    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/31

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema nchi zenye misimamo huru zinapaswa kuimarisha uhusiano baina yao na kutoathiriwa na siasa za madola ya kibeberu na Kiistikbari ili kuweza kuzima moto wa hitilafu na mapigano uliowashwa na madola hayo.
Habari ID: 3470635    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/25